Pages

Monday, February 8, 2016

Jifunze kutengeneza PIZZA

Piza hii ni ya mboga mboga na cheese Mahitaji 1 kilo unga wa ngano 240 gram maji ya vugu vugu 2 olive oil kijiko kikubwa cha chakula 2 Asali kijiko kidogo cha chai 1 chumvi kijiko kidogo cha chai 1 Amira ya chenga kijiko kidogo cha Jinsi ya kutengeneza Chukua bakuli weka maji ya uvugu vugu, amira ya chenga, asali...

Jinsi ya Kutengeneza Ice cream nyumbani

Tengeneza Icecream nyumbani bila mashine na kwa muda mfupi ...

Jinsi ya kutengeneza Juice ya Tikiti maji (Watermelon)

Jifunze kutengeneza Juice ya Tikiti maji ukiwa nyumbani  ...

Wali wa Biriani

Mahitaji  Mchele  Nyama ya ngómbe au kuku Samli  Viazi mbatata  Vitunguu maji  Thomu gram  Tangawizi mbichi  Hiliki  Mdalasini  Mtindi  Siki kiasi Majani ya nanaa Chumvi  Zaafarani kidogo (irowekwe kwa maji ya moto ) Tungule ilosagwa Tungule ya kopo Maandalizi  Menya...

Mapishi ya Jamii ya Tambi na Mayai

Mahitaji Tambi Mayai Nyanya Vitunguu Karoti Hoho Mdalasini uliosagwa Mafuta ya kupikia  Maji Jinsi ya kuandaa na kupika Katakata tambi zako kwa urefu unaoutaka kisha ziloweke kwenye maji safi ya baridi hadi zilainike. Katakata viungo vyote  ( Vitunguu, Nyanya, Hoho, Karoti) kisha weka kwenye sahani...