
Mahitaji
Tambi
Mayai
Nyanya
Vitunguu
Karoti
Hoho
Mdalasini uliosagwa
Mafuta ya kupikia
Maji
Jinsi ya kuandaa na kupika
Katakata tambi zako kwa urefu unaoutaka kisha ziloweke kwenye maji safi ya baridi hadi zilainike.
Katakata viungo vyote ( Vitunguu, Nyanya, Hoho, Karoti) kisha weka kwenye sahani...