
Piza hii ni ya mboga mboga na cheese
Mahitaji
1 kilo unga wa ngano
240 gram maji ya vugu vugu
2 olive oil kijiko kikubwa cha chakula
2 Asali kijiko kidogo cha chai
1 chumvi kijiko kidogo cha chai
1 Amira ya chenga kijiko kidogo cha
Jinsi ya kutengeneza
Chukua bakuli weka maji ya uvugu vugu, amira ya chenga, asali...